SERIKALI KUMPA TUNZO MBUNGE NEEMA MANDABILA

 

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba amempongeza Mbunge wa Viti maalumu Mkoa Songwe Mhe Neema Mwandabila kwa kujitolea kuwahudumia Wafungwa Magerezani kwa kuwagawia magodoro na mablanketi katika Magereza mbalimbali Mkoani Songwe.

"Sisi kama Serikali tumepanga kumpatia Tunzo Mheshimiwa Neema Mwandabila iwa kitendo chake cha kuwajali na kuwahudumia Wafungwa walioko Magerezani huu ni Moyo ya kipekee sana na wakishujaa"amesema Mgumba



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UDUMAVU BADO TISHIO -DUGANGE

MBUNGE MOMBA KUTOA SHILINGI MILIONI 28 UJENZI WA OFISI ZA CCM KATA 14

BARAZA LA MADIWANI LAWAPONGEZA WALIMU UFAULU WA DARASA LA SABA